Vurumai imezuka stendi ya Mwanza baada ya wafanyabiashara kupandishiwa
kodi yao kutoka 20,000 hadi 200,000 kisha kufungiwa maduka yao
walipogoma kulipa.
Maduka 164 kati ya 213 yaliyopo katika stendi hiyo, mkurugenzi wa
halmashauri ya Ilemela amedai wakiendelea kuchelewa kulipa watakata
makufuli yao na kutoa bidhaa zao nje na kuweka wapangaji wengine
KUTAZAMA VIDEO BOFYA HAPA>>>>>
No comments:
Post a Comment