Friday, 24 July 2015

Buhari: Marekani inawasaidia Boko Haram!




Mohamed Buhar akiwa na mwenyeji wake Barak Obama

Marekani "inawasaidia na kuchochea " kundi la wanamgambo wa kiislam wa Boko Haram kwa kukataa kutoa silaha kwa Nigeria, ni kauli ya rais wa Nigeria Mahammadu Buhari.
Sheria ya Marekani inazuia serikali kuuza silaha kwa nchi ambazo zinashindwa kushughulikia ipasavyo masuala ya haki za binadamu.

Wanawake nchini Nigeria
Boko haram imewateka wasichana na wanawake wengi wakiwemo wasichana wa shule zaidi ya 200

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari alikutana na rais Barack Obama Jumatatu kuomba msaada zaidi.
Boko Haram limewauwa watu 10,000 tangu mwaka 2009 na limewateka mamia ya wasichana na wanawake.

No comments:

Post a Comment