Rais Magufuli leo ametengua rasmi uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme nchini(TANESCO), Eng. Felchesmi Mramba. Aidha Rais ame...
Serikali yapiga marufuku shule binafsi kufanya mitihani ya kuchuja wanafunzi
Serikali imepiga marufuku utaratibu wa shule binafsi kuendesha mitihani ya mchujo kwa wanafunzi wanaotarajia kufanya mitihani ya kitaifa il...
MZEE WA UPAKO AWAOMBEA KIFO.....
Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo, maarufu Mzee wa Upako amesema waandishi wote wanaoandika habari za kumchafua ...
POLISI WAMWAGWA WILAYANI MKURANGA
SIKU moja baada ya majibizano ya risasi kati ya askari na watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi katika eneo la Vikindu wilaya ya Mkuranga k...
RAIS DKT MAGUFULI AHUDHURIA MISA YA JUBILEI YA DHAHABU YA NDOA YA RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA NA ANNA MKAPA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu wa zamani Mh...
KAMANDA SIRRO ATANGAZA KIAMA KWA WANANCHI WATAKAO ANDAMANA SEPTEMBA MOSI JIJINI DAR ES SALAAM
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna wa Polisi (CP), Simon Sirro akizungumza katika mkutano na waandishi wa habar...
Dr KIGWANGALA ASHTUKIA SHIRIKA LILILOKUWA LIKICHOCHEA MAPENZI YA JINSIA MOJA
Yabainika walikuwa na mradi wa kuhamasisha mapenzi ya jinsia moja ukifadhiliwa na JHPIEGO - Baadhi ya watendaji wa Asasi hiyo walikuwa k...
TUNDU LISU MAHAKAMANI
Mwanasheria wa CHADEMA, Tundu Lissu amefikisha Mahakamani ya Kisutu saa 8. 46 huku mahakamani hapo kukiwa na ulinzi mkali. Ulinzi umeima...
WAFANYA BIASHARA MWANZA WAZUA VURUMAI
Vurumai imezuka stendi ya Mwanza baada ya wafanyabiashara kupandishiwa kodi yao kutoka 20,000 hadi 200,000 kisha kufungiwa maduka yao wali...
WANAFUNZI WOTE WASIO NA SIFA KUONDOLEWA VYUO VIKUU.
Waziri wa Elimu Joyce Ndalichako amesema wanafunzi wote wanaosoma vyuo vikuu wasio na sifa wataondolewa bila kujali wapo mwaka wa ngapi na ...
MATAYARISHO YA UKUMBI WA HAFLA YA EID MUBARAAK
Ukumbi wa Baraza la Eid Mubaraak wakamilika matayarisho yake kwa ajili ya kutumika kesho kwa Baraza la Eid Mubaaraka kama unavyooneka...
AFARIKI DUNIA ALIYE WAHI KUWA MBUNGE WA KILINDI
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilindi Beatrice shelukindo Aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Kilindi mkoani Tanga, ndugu Beatrice Shelu...
MALI ZA MKONO KIZUIZINI
Mamlaka ya mapato Tanzania, kitengo cha walipa kodi wakubwa wamezuia mali za kampuni ya uwakili ya Mkono kwa kudaiwa kodi yenye thamani ya ...
Hujuma za kuharibiwa mali na watu wasiojulikana zamkumba mkaazi wa Chonga, Pemba
Hizi ninhujuma jaami Miongoni mwa Kuku ambao ni mali ya Hasnuu Moh'd Hassan, walionyongwa na watu wasiojuilikana huko kat...
Wakaazi wa Zanzibar wanufaika na kapu la Vodacom Foundation
Mkazi wa Masingini Zanzibar,Mzee Mtumwa Haji Mustafa (kulia) akipokea kapu lenye vyakula mbalimbali kutoka kwa mwakilishi wa Doris Mol...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Charles Kitwanga amesema zoezi linaloendelea sasa la kukamata raia wa kigeni wanaoishi na kufany...
KAMPUNI ZILIZO KWEPA KODI SH.BIL 29.2.......
Kampuni 4 zabainika kukwepa kodi Sh. Bilioni 29.2. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kushirikiana na Taasisi ya Kupambana na Kuz...
JESHI LA POLISI LAPEWA SIKU 90 KUHAKIKISHA MITAMBO YOTE YA LUGUMI INA FANYA KAZI.
Ni baada ya Kamati ya Bunge iliyopewa kazi ya kufuatilia Sakata la Lugumi kuthibitisha kuwa vifaa mashine hizo zimefungwa katika vituo vyo...














