Kwa kipindi kirefu nimejaribu kuwafuatilia wasichana wanaopenda kuvaa magauni au sekti ndefu katika karne hii ya ishirini na moja ili nijue kwamba wanavaa hivyo kutunza maadili ya Mwafrika au wana sababu zao nyingine...
Kwa wangu nimebaini kuwa zaidi ya asilimia sabini na tano ya wadada wanaovaa nguo ndefu na pia wanaovaa suruali wana usafiri mwembamba...

Orodha hii haijahusisha wa wale wanaovaa mavazi kulingana na imani zao... Imehushisha tu wale wanaovaa mavazi ya kawaida ambayo hayana muingiliano na imani yeyote...

huu pia ukaendelea kubaini kuwa wadada wenye guu za bia hupenda sana kuvaa visketi au magauni mafupi na kuanika miguu yao hadharani...


Sichochei uvaaji wa nguo fupi kwa mabinti tafadhali

Post a Comment

 
Top