Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akisalimiana na Waziri Mkuu wa zamani Mhe Edward Lowassa wakati wa Misa
ya Jubilei ya Dhahabu ya ndoa ya Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama
Anna Mkapa katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo
Jumamosi.
Paroko
akisimamia ukumbusho wa ahadi za ndoa wakati wa Misa ya Jubilei ya
Dhahabu ya ndoa ya Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa
katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi
Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakipokea hati maalumu ya ndoa toka kwa ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo
wakati wa Misa ya Jubilei ya Dhahabu ya ndoa ya Rais Mstaafu Mhe
Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar
es salaam leo Jumamosi
Rais
Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakikata keki katika
hafla ya chakula cha mchana waliyoandaa baada ya Misa ya Jubilei ya
Dhahabu ya ndoa yao katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo
Jumamosi
Rais
Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa akitoa shukurani wakati wa Misa ya Jubilei
ya Dhahabu ya ndoa yake na na Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mt.
Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akitoa salamu zake za pongezi wakati wa Misa ya Jubilei ya Dhahabu ya
ndoa ya Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa katika kanisa
la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
katika picha ya pamoja viongozi wa dini na viongozi wastaafu na wake zao
wakati wa Misa ya Jubilei ya Dhahabu ya ndoa ya Rais Mstaafu Mhe
Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar
es salaam leo JumamosiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja viongozi wa dini na viongozi wastaafu na wake zao wakati wa Misa ya Jubilei ya Dhahabu ya ndoa ya Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi
Katibu
Mkuu wa CCM Ndg Abdulrahman Kinana akiteta jambo na Waziri Mkuu wa
zamani Mhe Edward Lowassa wakati wa hafla ya chakula cha mchana baada ya
Misa ya Jubilei ya Dhahabu ya ndoa ya Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa
na Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo
Jumamosi Agosti 27, 2016
No comments:
Post a Comment