ZLATAN IBRAHIMMOVIC KUHAMIA MAN UNITED RASMI.
Zlatan Ibrahimovic asaini Manchester United kwa uhamisho wa bure
Zlatan Ibrahimovic akamilisha uhamisho wake wakuingia Man United
Miaka 34 imepita na sasa amefaniliwa na kukumilisha taratibu zote na kujiunga na Man United.
Amerudi akiwa na meneja wake Jose Mourinho,aliyekuwa akifanya naye kazi pamoja huko Potugo Serie A club Inter Milan.
No comments:
Post a Comment