Wednesday, 6 July 2016

MATAYARISHO YA UKUMBI WA HAFLA YA EID MUBARAAK

  Ukumbi wa Baraza la Eid Mubaraak wakamilika matayarisho yake kwa ajili ya kutumika kesho kwa Baraza la Eid Mubaaraka kama unavyoonekana pichani ukiwa unapendeza baada ya kufanyiwa ukarabati mkubwa

No comments:

Post a Comment