Mamlaka ya mapato Tanzania, kitengo cha walipa kodi wakubwa wamezuia
mali za kampuni ya uwakili ya Mkono kwa kudaiwa kodi yenye thamani ya
shilingi za kitanzania Zaidi ya bilioni moja.
TRA imetuma barua kwa kampuni ya minada ya Yono na jeshi la polisi ili
kuzuia mali za kampuni ya Mkono na kuziuza au kuziweka kwenye mnada ili
kufidia kodi na gharama zote za usumbufu kulingana na sharia ya kodi.
No comments:
Post a Comment