Sunday, 3 July 2016

AFARIKI DUNIA ALIYE WAHI KUWA MBUNGE WA KILINDI

Aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilindi

Beatrice shelukindo 


Aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Kilindi mkoani Tanga, ndugu Beatrice Shelukindo amefariki dunia Leo jioni jijini Arusha alikokuwa akijiuguza.

Mwili umehifadhiwa kwenye Hospitali ya Mount Meru.

 

No comments:

Post a Comment