Thursday, 12 May 2016

SAFARI YA MWISHO YA ZACHARIA MARTIN MOSHI (FUNDI STADI WA KWANZA OLD MOSHI)

        Picha za mtukio mbalimbali katika siku ya kumuaga mzee Zacharia Martin Moshi,Tukio hilo lililoanzia katika hosipitali ya rufaa ya mkoani kilimanjaro KCMC na baadae nyumbani na kanisani kwake Old Moshi Kisamo.
            Zifuatazo ni picha za watoto, wajukuu pamoja na ndugu,jamaa na marafiki wakiwa katika chumba cha kutahayarishia maiti wakitoa heshima za mwisho pamoja na kufanya sala ya mwisho kwa marehem.

 Kutokea kushoto ni Tito Moshi, Emmanuel A Moshi, Rabiel R Massam,Ernest B Moshi na Joseph B Gimbuya.
 Kutokea kulia wakwanza ni Reuben N Massam, na wa katikati ni Elias Z Moshi,

Nje ya chumba cha kuhifadhia maiti kukuwa na watoto, dada pamoja na mjukuu wa marehem,




 Mwili wa marehemu Zacharia M Moshi ukitolewa chumba cha kuhifadhia maiti tayari kwa maandamano ya kuelekea nyumbani kwa marehem kwataratibu nyingine za mazishi.

2 comments: