Damn who knew? All the planes we flew good things we've been through that I'll be standing right here talking to you 'bout another path I know we loved to heat the road and laugh but something told me that it wouldn't last had to switch up look at things different, see the bigger picture those were the days hard work forever pays.... And now I see you in a better place........... Uh...... How can we not talk about the family when the family's all that we got everything I went through you were standing there by ma side and now you gon' be with me for the last ride so let the light guide your way R. I. P KAKA YOU WILL BE MISSED









James Petro Nsemwa ambaye wengi tunamfahamu kwa jina la ‘Kinyambe’ aliyekua muigizaji maarufu wa komedy nchini Tanzania katika kipindi cha Vituko Show amefariki dunia.Taarifa hizo za simanzi zimepokelewa kwa majonzi makubwa na wadau wote wa sanaa  na wapenzi wa komedy.Hata hivyo kwa taarifa zilizopo kutoka katiaka familia ya marehem Uyole mkoani Mbeya ambapo ndipo msiba na maombolezo yanafanyikia, zinasema kua Kinyambe alikua akisumbuliwa na pafu la kushoto na hivyo kumsababishia kushindwa kupumua vizuri.Hata hivyo tatizo hilo lilimsumbua kwa takribani miezi nane na hatimaye kufariki tarehe 12/05/2016.BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.





Post a Comment

 
Top