Laurent Fabius
Waziri wa mashauri
ya kigeni nchini Ufaransa Laurent Fabius ameelezea hisia za baadhi ya
nchi za ulaya dhidi ya suala la uhamiji kuwa sawa na sakata.
Amezilaumu nchi za ulaya hasusan zilizo mashariki mwa ulaya kwa kukataa kuwaruhusu wahamiaji.
Ufaransa imejiunga na Uingezea pamoja na na Ujerumani katika kuitisha mkutano wa dharura na mawaziri wa nchi za ulaya kutafuta njia za kukabiliana idadi ya wahamiaji inayozidi kuongezeka.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.