Mwanasheria wa CHADEMA, Tundu Lissu amefikisha Mahakamani ya Kisutu saa 8. 46 huku mahakamani hapo kukiwa na ulinzi mkali.

Ulinzi umeimarishwa katika mahakamani hapo muda mrefu wakati wakimsubiria Lissu akitokea katika kituo cha polisi Kanda maalumu.

Polisi wapatao tisa baadhi ya wakiwa na silaha wametanda katika eneo la mbele la mahakama hiyo.

Post a Comment

 
Top