Maafisa wanne wa polisi mjini Dallas,Marekani wamepigwa risasi na kuuawa wakati wa maandamano ya kupinga mauaji ya watu weusi.
Maafisa wa polisi katika mji ulio katika jimbo la Texas, wanasema mauaji
hayo yametekelezwa na washambuliaji wawili wa kulenga shabaha.
Msako mkali unaendelea kuwasaka washambuliaji hao, mkuu wa polisi wa Dallas David Brown amesema.
Maafisa wengine saba wa polisi wamejeruhiwa, Bw Brown amesema.
Wawili wamefanyiwa upasuaji wa dharura na mmoja yumo katika hali mahututi.
Ufyatuaji risasi ulianza waandamanaji walipokuwa wakipitia barabara za mji na kuwafanya waandamanaji kukimbilia usalama wao.
Maandamano hayo yalitokana na kuuawa kwa wanaume wawili weusi, Philando
Castile jimbo la Minnesota na Alton Sterling eneo la Baton Rouge jimbo
la Louisiana.
============================
Four
Dallas police officers were killed and seven others were wounded by
snipers on Thursday night during a demonstration protesting the police
shootings in Minnesota and Louisiana this week, according to Chief David
O. Brown of the Dallas police.
One suspect was arrested late Thursday after a shootout with the Dallas police, the Police Department said on Twitter.
A second man, whose photo the Police Department had released as a “person of interest,” had turned himself in.
Chief Brown said the shooting was carried out by two snipers who fired
down on a demonstration in the city’s downtown area that until then had
been peaceful.
“Some were shot in the back,” the chief said. “We believe that these
suspects were positioning themselves in a way to triangulate on these
officers.”
A civilian in the crowd of almost 1,000 people was also wounded.
The police were also combing downtown Dallas for what they believe was a
bomb planted by the snipers as the heart of the country’s ninth-largest
city was put on lockdown.
Home
»
ELIMIKA
»
KIMATAIFA
» Maafisa wanne wa polisi mjini Dallas, Marekani wamepigwa risasi na kuuawa wakati wa maandamano ya kupinga mauaji ya watu weusi.
Related Posts
BILL GATES : NELSON MANDELA ANNUAL LECTURE
Remarks as delivered Nelson Mandela Annual Lecture University of Pretoria, South Africa July 17, 201[...]
Dr KIGWANGALA ASHTUKIA SHIRIKA LILILOKUWA LIKICHOCHEA MAPENZI YA JINSIA MOJA
Yabainika walikuwa na mradi wa kuhamasisha mapenzi ya jinsia moja ukifadhiliwa na JHPIEGO - Baadh[...]
WANAFUNZI WOTE WASIO NA SIFA KUONDOLEWA VYUO VIKUU.
Waziri wa Elimu Joyce Ndalichako amesema wanafunzi wote wanaosoma vyuo vikuu wasio na sifa wataondo[...]
Bunge la Israel laondoa sheria ya sketi fupi
Bunge la Israeli limetupilia mbali sheria za kuvaa kwa wafanyakazi wa bunge baada ya wafanyakazi[...]
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.