Mchungaji
wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo, maarufu Mzee wa Upako
amesema waandishi wote wanaoandika habari za kumchafua watakufa kabla ya
kufika Machi mwakani.
Kauli hiyo aliitoa jana ikiwa ni mwendelezo wa mahubiri yake ya nne
katika wiki ya tatu mfululizo, akijibu yaliyoandi...